Fikra
IQNA – Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni fursa ya kipekee kwa ukuaji wa kiroho, kusafishwa kwa maadili, na kushiriki kwa kina na Qur’ani, anasema Masoud Rastandeh, mwalimu wa Qur’ani na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Bu-Ali Sina nchini Iran.
Habari ID: 3480285 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
Mtazamo kuhusu Maisha ya Bibi Zahra (SA)/2
IQNA – Baada ya Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kugura kutoka Makka kwenda Madina, kulikuwa na wanaume wengi ambao walitaka kumuoa binti yake.
Habari ID: 3479878 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08
Mtazamo
IQNA – Mwanazuoni mmoja amesitiza kuwa Katiba ya Madina, iliyoanzishwa na Mtume Muhammad (SAW), inaweza kuwa kielelezo muhimu cha mazungumzo ya kisasa baina ya dini mbalimbali.
Habari ID: 3479660 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28
Harakati za Kiislamu
IQNA - Mwanasiasa wa Malaysia amesisitiza kuhusu umuhimu wa kufuata Sira ya Mtukufu Mtume Muammad (SAW) kwa Umma wa Kiislamu ili kufikia umoja.
Habari ID: 3479588 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
IQNA – Jina lililobarikiwa la Mtume Muhammad (SAW) linanaweza kuonekana katika vigae mbalimbali kwenye kaburi tukufu la Imam Ridha (AS) huko Mashhad.
Habari ID: 3479479 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24
Maulidi
IQNA - Wanazuoni wa dini mbalimbali walihudhuria mkusanyiko katika haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, Jumamosi, kuadhimisha Maulid au kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479468 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22
Muqawama
IQNA- Badreddin Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba yake kuhusu hali mbaya ya hivi sasa ya Umma wa Kiislamu amesema kuna ulazima kufungamana na Mtume Muhammad (SAW0 Mtume na Qur'ani Tukufu, amesisitiza haja ya Waislamu kusoma na kuiga shakhsia ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3479387 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06
IQNA - Al-Rawda al-Sharifa ndani ya Al Masjid an Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina ndipo alipozikwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad Al Mustafa (SAW)
Imepokewa kuwa Mtume Muhammad (SAW) amesema kila mjumbe wa Mwenyezi Mungu anayeaga dunia huzikwa mahali pale alipofia. Kwa hiyo, Mtume Muhammad (SAW) alizikwa katika moja ya vyumba vya nyumbani kwake Madina ambako alifariki dunia.
Habari ID: 3479379 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03
Najaf
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, iliweka idadi ya wafanyaziara waliozuru kaburi hilo tukufu katika siku ya 28 ya mwezi wa Hijri wa Safar kuwa karibu milioni 5.
Habari ID: 3479377 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03
Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo vinne vya Qur'ani vimewekwa kwenye barabara zinazoelekea mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479369 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
Maombolezo
IQNA – Bendera ya maombolezo ilipandishwa kwenye kaburi au Haram Takatifu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, kwa ajili ya kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, Mtume Muhammad (SAW) na kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hassan Mujtaba (AS). .
Habari ID: 3479368 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
IQNA - Milio ya risasi karibu na msikiti mmoja nchini Oman kuelekea mkusanyiko wa waombolezaji wa Kishia imesababisha vifo vya takriban watu wanne na kuwaacha wengine kadhaa kujeruhiwa.
Habari ID: 3479135 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/16
Mtume (SAW
Qur'ani Tukufu inasisitiza katika aya nyingi kwamba pamoja na utii kwa Mwenyezi Mungu, kumtii Mtume (SAW) na Ulul Amr pia ni Wajib (wajibu).
Habari ID: 3479121 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
IQNA - Sheikh Saleh Al-Shaiba, mshika ufunguo mkuu na mlezi wa Kaaba Tukufu, alizikwa siku ya Jumamosi asubuhi kwa ajiri ya kuugua kwa muda mrefu.
Habari ID: 3479009 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24
IQNA - Morocco imepiga marufuku usambazaji wa jarida la Kifaransa ambalo lina katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW). Serikali ya Morocco imesitisha usambazaji wa toleo namba 1407 la Marianne, ikitaja kuwepo kwa taswira zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478483 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10
Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu tukio chungu na la kuhuzunisha la Gaza na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni, na akasema: “masaibu ya Gaza ni masaibu ya wanadamu na yanaonyesha kuwa utaratibu wa sasa wa ulimwengu ni wa batili tupu, usioweza kudumu na utatoweka tu.
Habari ID: 3478321 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/08
Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Ahlu Bayti (AS) ni maneno yanayotumiwa kurejelea familia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477778 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu wiki hii amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 37 la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran.
Habari ID: 3477659 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/27
Milad-un-Nabii (Maulid ya Mtume Muhammad-SAW-)
BANGKOK (IQNA) - Waislamu katika Pattani, mji ulioko kusini mwa Thailand, walifanya "Matembezi ya Mahaba kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW)" siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477652 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25
Historia ya Uislamu
BAGHDAD (IQNA) – Mamia kwa maelfu ya wafanyaziyara wamesafiri katika miji mitukufu ya Iraq katika kumbukumbu ya kufariki Mtume Muhammad (SAW) na kuuawa shahidi mjukuu wake, Imam Hassan (AS).
Habari ID: 3477596 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/14